Usiwe unatususa kiivo dyadya uwepo wako hapa unachangamsha sana uzi!!Selfika ni ya wote mdogo wangu nawewe unapotea sana!
Yebu nibless kwanza nikae sawa!!
Nipo mdogo wangu majukumu sometimes yanakaba!!
Usiwe unatususa kiivo dyadya uwepo wako hapa unachangamsha sana uzi!!Selfika ni ya wote mdogo wangu nawewe unapotea sana!
Yebu nibless kwanza nikae sawa!!
Nipo mdogo wangu majukumu sometimes yanakaba!!
Lol kumbe!! Basi sauwaa mamy haya selfika dada afurahi Jamani hajakuona Kitambo ujue!Usiwe unatususa kiivo dyadya uwepo wako hapa unachangamsha sana uzi!!
Leo Nipo bize kidogo dadangu badae ntakuwekea ufurahi Bosi ledi!!Lol kumbe!! Basi sauwaa mamy haya selfika dada afurahi Jamani hajakuona Kitambo ujue!
Jamaniiiii 🙄🙄🙄🙄🙄🙄!!Leo Nipo bize kidogo dadangu badae ntakuwekea ufurahi Bosi ledi!!
Njoo hapa mafiat ule mdudu na savannahNiko mbeya dear, baridi inapiga mweeeeh.
K mnato kbsa Huyu

subiri nitoke kanisani KwanzaHi sweetiecocastic Carrasco putin Mjep Lovelovie sophy27 Pau Bae Brian Spilner mshana Jrmyoyambendi Shimba ya Buyenze Saint Anne Wigelekelo Lenie tayana wog Alayna Mideko Poker and others Nawasalimu kwa jina la Selfika wapendwa!!![]()

Hi babe!!😘Hi sweetie
Maabato wa mwendokasi👈👈😉!!K mnato kbsa Huyusubiri nitoke kanisani Kwanza
Mbona hautoi taarifa?Niko mbeya dear, baridi inapiga mweeeeh.
cocastic Carrasco putin Mjep Lovelovie sophy27 Pau Bae Brian Spilner mshana Jrmyoyambendi Shimba ya Buyenze Saint Anne Wigelekelo Lenie tayana wog Alayna Mideko Poker and others Nawasalimu kwa jina la Selfika wapendwa!!![]()
Mic uHi babe!!![]()
Msabato wa mchongoMaabato wa mwendokasi!!
Kabisaaaa,poleee shoss !! Huko napo kwa baridi hapajambooo!! Sipati picha huu msimu nahisi unaeza ganda!!?





Hebu sema kweli?? V8 ipo? Nikanyage mafuta kidg,



Yaan wakaka wazuri hivi afu wamelowea kwa Dini, woiiiiiiii.






Mbona hautoi taarifa?
Baridi hupunguzwa ukipokeleka




si uko Songea wee??