Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 673
- 2,292
Nmesahau@cocastic kapata danga huko mbeya sshv ana iPhone 14 pro max ana crown kampiga chini Ntiluseswa
π² Wow embe kama Caribbean islands! πβ€οΈππKaribuni embeeπ
Carrasco putin Vijana wa kuandika xana badala ya sana mpelekee shoss angu coca ndio anawezana naoππ€π€π€ππCarrasco putin kazi unaieza π€π€£ nimekubali unaimbaga bendi nini? Umenipamba xna ungekua jirani yangu ni helaa tu ningetunza nazo.
Hahaha! Ni tramu mnooo ππππ² Wow embe kama Caribbean islands! πβ€οΈππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huwa sihongwi vikubwa, mie vocha tyuuh tena za buku buku. Unajifaidia wee hadi useme bas.Vocha kitu gani
Kwa deal ninayokupatia
Hebu changamka alaa
Mpost bhana shouzzzzz ake, tumuone.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Jf nzima itatetemaaa mbona hapatatosha humu weeeeeeeehhh! [emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732]! [emoji14][emoji14]
Embe tamuuu, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Karibuni embee[emoji39]
Mbavuuuuu zangu hukuu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Eti tibakie selfika Nimecheka kama chizi... Sio celebrities kwa mamaa kidukuliloπ€π€π€ π€£π€£π€£πππππ!!myoyambendi mkuu mi ndio poker tajiri la Dubey pesa kwangu ni za kuchambia sina stress na shida ndogondogo we amini hata akitaka nimnunulie JF app iwe yake namnunulia tuwaban members wote tubaki watu waselfika tu!
Ahakikishe ana taaluma hizi, Dr au Eng.Carrasco putin Vijana wa kuandika xana badala ya sana mpelekee shoss angu coca ndio anawezana nao[emoji6][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23]
Aaattteeeeeeennnnttttiiiiiiiioooooonnmmmmm! Nimalize kula kwanza karibuni tupate chamcha kwanza!! Nakuja kumpost bossi teeeinnnnaaaaaaaaaaaaa πππ!!Mpost bhana shouzzzzz ake, tumuone.
Miss u more siz ππ
Miss you sis ake!! ππππ π π daah ni hatariii
Nasubir hapa kwa hamu kubwaaa!!! Weaaaah.Aaattteeeeeeennnnttttiiiiiiiioooooonnmmmmm! Nimalize kula kwanza karibuni tupate chamcha kwanza!! Nakuja kumpost bossi teeeinnnnaaaaaaaaaaaaa [emoji108][emoji108][emoji108]!!
Vijinini wapi mgeta au matombo au gairo kwa wakaguru au ifakara kwa wapogoro ! ππSoko kuu pale kati!
Mie nimekulia vijijini huko nilikua nakwea miti mwenyewe kumejaa mikwaju maembe mabibo kunazi zambarau yaniii I do miss My sweetmoro sanaa!! Yani Mnooo
Hapa ni wapi??