Selfika na JF: Snap it. Show it

Helloowww selfika!! Lovelovie sophy27 Pau Bae Wigelekelo myoyambendi Shimba ya Buyenze , Mr vocha the one and boss kubwaaaa Africa Mashariki na katiiiii Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg,
Matajiri zangu wa kaskanini Depal mamaa dimpoz na bosi wangu waukwee Lenie nawengine wengi miss you sana wapendwa Tinsley mamaa lippppsss,, Alayna mzungu wetu Selfika the African Princess mcuteeee😘😘,,
Niliwamisss sana wapendwa wanguuu nimerudiiiiii!!. Naona tags nyingi sana wapendwa all in all nashukuru sana wote mlonimiss miss you more guys 😘😘😘
.

cocastic babe akee naomba report pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!β€οΈβ€οΈπŸ’‹πŸ’‹

Forever and always

Antonnia
 
Kwahyo unganitag ungeachika Kwan kwa Ntiluseswa
 
Ugonjwa wangu hapo kifuani chuchu kama hujazaa vile
 
Umeongezeka kishundu aisee kweli likizo jambo jema sasa unatakiwa udate na mwanaume kamili kama mm mkubwa mwenzio acha kudate na vitoto vitoto
 
Mpka nimle beki 3 wako ndyo utaniheshimu ww binti
 
Lol nulisusahauje wewe uwiii kweli nastahili adhabuuu ku.sahau mtu muhimu sana Selfika πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ Carrasco putin Kubwa laooo
Kwahyo unganitag ungeachika Kwan kwa Ntiluseswa

Wee Huyo wa cocastic usiniletee balaa mie jf siwaweziiii kwanza πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ sitaki sitiresi na puresha za rejarejaaa kabisa sheendwaaa nacuzooako Mshendweeeeeeeeeeee!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€­πŸ€­
 
Umeongezeka kishundu aisee kweli likizo jambo jema sasa unatakiwa udate na mwanaume kamili kama mm mkubwa mwenzio acha kudate na vitoto vitoto
Wee tena nomepungua balaaa.. kuna dawa moja hio natumia ichonifanya sina hamuuuu nimekua komodoooo Lovelovie Pau Bae Alayna wakasomee🀭🀭!!. Hii dawa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Adhabu yako achana na Ntiluseswa date na tajiri mwenye sheli zake Kanda ya Ziwa T 1990 ELY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…