Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Notification yako imeniamsha shoss nimekujaaa!
Nipe ubuyu wa kulalia mie leo nipo nipo tu shoss angu nipee[emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531]
Miss you shoss angu
Unavyopenda umbea sasa, khaaaaab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilitaka ukuje tyuuh, hakna umbea hapa.
 
Inategemea na course, ualimu km je? Wana intern? Kujitolea si hiyari. Au mie ndo sielew??
Intern naona haina tofauti na volunteering…
Umemaliza kusoma unaomba ofisi ya kufanya internship/ volunteering

Sasa hiyo haina mwisho, unless uchoke au upate kazi

FPT… ni field practical training.. ndio ina muda wa kuanza na kuisha.
 
Nipe mimi nitamsimulia
Nimemfungia hawezi kuja huku 😉
Natoka tena if there's anything cocastic mpe mr Vocha atanifikishia shoss angu 🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️💤
 
Intern naona haina tofauti na volunteering…
Umemaliza kusoma unaomba ofisi ya kufanya internship/ volunteering

Sasa hiyo haina mwisho, unless uchoke au upate kazi

FPT… ni field practical training.. ndio ina muda wa kuanza na kuisha.
Hapo sasa sawa, nimekuelewa.
Intern ina muda maalumu, volunteering ndo haina ukomo.

[emoji482][emoji482]
 
Natoka tena if there's anything cocastic mpe mr Vocha atanifikishia shoss angu [emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji99]
Usijareeeeeeh!!!
 
img_4_1658951148184.jpg
 
Back
Top Bottom