Huyo kuna vitu vyake vya mizagamuo atakua kavimiss🤣🤣🤣🤣🤣coca Kachachuka vibaya sana!!
Huyo kuna vitu vyake vya mizagamuo atakua kavimiss🤣🤣🤣🤣🤣coca Kachachuka vibaya sana!!
Mtandao wa ma-boss huoHivi nyie wenzangu mna ubia na voda???? Yani sikuhizi mie ni wanakulaa data kama mchwaaaa!! Kifurushi cha wiki Siku mbili nyingiiiiiii uwiiii!!!
🤣🤣🤣Kichuri sio mchezo 😂Watakua wamekula Kichurii🤣🤣🤣
Ulinigusa wapi ukaona niko moto?Umepoa sana sikuhizi juzikati hapa ulikua na wamotoo didi!!!
![]()
Jeje la field
Kwatoo za kibabe.
Yan ukakuwa mkaanga mdudu and still slim? Si wanasemaga mdudu ananenepesha 🤣Njaa sio jambo la mchezo ,kaanga sana mdudu 2018.View attachment 2303489
Cheusi mangaraCheuci blac!View attachment 2303490
Weeee apia boss 😁Kitalu changu kikitema Selfika wote bata wiki nzima na bundle la mwezi bila kujali mtandao![]()
Haaa haaa nilikua nastress kali sana nilikua siio mlaji kabisa.Sasa hivi ubongeee huooo.Yan ukakuwa mkaanga mdudu and still slim? Si wanasemaga mdudu ananenepesha 🤣
Life has no meaning without hustling ✌️
Wana nini
Mbona sasa anazidi kupendeza 😅