Nyie kumbe Twitter kuna mtu anatumia jina language hili la JF.
sasa yeye kaweka hivi.
Cocastic_zungu. leo bhanaa ktk kupuyangaa si nkakuta ktk comments, kwanza nilicheka
Khaaaaah kumbe mie brand. Afu sijijui. Nkaamua kumfata DM kumdodosa eti anasema hilo jina katoa ktk mtandao m1 hivi, kutaja hataki, nkaamuambia umechukua JF eeh? Wacha aanze kujifaragua, nilicheka leo khaaaah.