Sahiv nataka nisuke simpo tu nichechoka kufinywa finywa na kichwa kipumue!!!
Halafu juzi nimepewa ya kusukia mtendaji kajiharibia ratiba shenzz zake!!!😏😏😏😏😏😏!!
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Aaarrh hayo mambo ya list Mie hapana kabisaaa!! Acha nipambane natabu zangu hukuuu tu ila sio foleni ya rejareja mie Masikini jeuriii🤣🤣😌🤭🤭😉😜!!!!