Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah kule kwenu sijui shida nini aisee,, halafu unajua Kyela anapoishi bibi yangu ni karibu kabisa na barabara inayoenda moja kwa moja Ileje??
Inawekwa sasahivi.
SI walichagua mbunge anayelala tu bungeni...
Watu wa ileje aliyewaroga alishakufa[emoji1787][emoji1787].

Kule boda ile barabara inatokea undali kwenyewe Sasa.
Kuna ileje ya ulambya na ileje ya undali.
Japo zote nimewahi ishi kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…