The smile on my face.
Is cause you love me.
Everything I do is baby cause you trust me.
Na muumba hakosei kukuleta kwangu mimi.
Wacha nikupe upendo safi, na chochote utakacho kwangu free.
Mkuu nakwambia afya ni muhimu sana kuliko ndoa yenyewe..... Me nmeishi hospital kumuuguza aunt yangu hii ni week ya tatu... Nmejua afya ni muhimu sana kuliko chochote kile