Mie najilipua 20k
Gb 12
And still simalizi weeek 4, week ya mwisho na struggle na hizo 1gb siku 3 simalizi..
Juzi kati nikaunga 4k jimixie wakanipa 3gb usiku hiyo, mchana ofisini zikakata
sema hapa asubuhi nilikuwa nna kazi iliyofanya nijiwashie WiFi kwa PC
Sasa nabaki kujiuliza ni mimi au voda wananihujumu?