[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sasa ni call, (kolu), ndo kuna 1 touch, no touch, lift touch.Nyoda ndio nn maana kwenye gololi maneno mengi ni kiingereza tu [emoji1][emoji1][emoji1]
Utaskia lift mara no lift touch mara no touch [emoji3][emoji3]
Mie hapa dear, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hamna alienimiss?
Ivi na nyie wanawake kumbe mlikua mnacheza hii 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sasa ni call, (kolu), ndo kuna 1 touch, no touch, lift touch.
Mie wa kijijini kingereza sijui
Okay, does it make me look scary? Nisije nikawa I make people uncomfortable around me...wakajua najilipua mda wowote 😂Beard
Haya walipua mabom hawa hapa. Iran koko.Resend [emoji18]
View attachment 2301607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alshabab 🫣
Babeee bila mboga??
Sanaaa tyuuh.Ivi na nyie wanawake kumbe mlikua mnacheza hii [emoji3][emoji3][emoji3]
Km fatuma karume. Huyo mamaUmenipa maisha,2017.View attachment 2301624
Ukubwa nao raha bhana au wewe huoni raha 😀😀😀😀Sanaaa tyuuh.
Nimekumbuka mchezo wa "mseleleka" nimemaliza sana nguo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utoto raha sana.
Ok!Resend 😌
Emu ambayo umepiga straightOkay, does it make me look scary? Nisije nikawa I make people uncomfortable around me...wakajua najilipua mda wowote 😂
Mwenye ndinga humu ninayemjua ni Baba Joy pekee. Hivi vingine vyetu hivi ni vyombo vya usafiri tu (in Kiduku Lilo's voice) 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Ndinga km ndinga.
🤷🤷🤷🤷
Nitakubonda🤷🤷🤷🤷
Cameraphobia
Kwa raha ipi??Ukubwa nao raha bhana au wewe huoni raha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Babe nmefikilia kitu Cha kupika nmekosa....na ni kwa sabb nipo mwenyewe nkiendaga nyumbani wala hata sifikilii kwa sabb tunakua wengiBabeee bila mboga??
Embu tupia nyingine tena nishushie hii kitu hapa plsNitakubonda