KwendraaaNialike basi jioni nije ππ
Good for you
asante, nitagawiwa na babe wangunikugaie ππ
ππππKwendraaa
ππππasante, nitagawiwa na babe wangu
Nipo madam fanya mamboMjep mr Vocha upoooo????? Kuja nikubless Boss wetu selfika sie!
Hairiplaiki pale pale πBoss kama Boss
Kafuta tayariHairiplaiki pale pale π
Lol ushatoka?? Nilitingwaaa!!Nipo madam fanya mambo
Yaan hawapendani balaa, ila Nandy ndo Tabia yake, wakati ule alimtuma Giggy amchafue Vanessa. Na kweli akamchafua wee, baada ya wao kukwaruzana giggy akalimwaga nje. Kuwa alitumwa na NandyHapana chezea mimba aisee
Kisa alimkanyaga shela lake .. anavyolalamika sasa nilikanyagwa sana ndo maana ikabidi nimuangalie hivyo .
Yeah nimesikia kuhusu hiyo voice note aisee wasanii hawa balaa ..chuki kwenda mbele
Watu hawapendani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee naogopaaa.Hahahhahahahha.... Usiwaze Uko fureeesssshhh shoss!!!
Kha kumbe Hadi vannesa jamani huyo dada ... Ana roho hiyo kumbeYaan hawapendani balaa, ila Nandy ndo Tabia yake, wakati ule alimtuma Giggy amchafue Vanessa. Na kweli akamchafua wee, baada ya wao kukwaruzana giggy akalimwaga nje. Kuwa alitumwa na Nandy
Toka paleeeee Nandy simpendiiiii.
Nandy ndo tabia yake, wala sijashangaa mie.Kha kumbe Hadi vannesa jamani huyo dada ... Ana roho hiyo kumbe
Nampenda Vee ana vibe si mchezo
Wasanii hawa kila siku bifu tu .
Duh nomaNandy ndo tabia yake, wala sijashangaa mie.