Selfika na JF: Snap it. Show it

😁 Wale wa Narco-Mbande wanangu sana.. hiyo njia natembea sana na huwa ni mwendo wa escort tu. sijabahatika hata kupigwa huo mkono . kipande kibaya kwangu ni Dar to Moro na kutoka Dodoma to singida.. ila Moro to Dodo huenda na nyota nacho sijawa hata simamishwa na popote huko ni 180-250kmh.. kuna siku hadi nikasema leo napigwa mkono baada ya kutoka tabu hotel nipo kama na 200 alafu nime overtake.. ila jamaa walaaa na baada mda nikarudi nikawakuta nikapunga mkono basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…