Hahahaha pole aisee ila una pesa chafu weweYani mm Nina majanga acha tu nilishatoaga hela kwenye atm nikazisahau hapo hapo kwenye atm
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ntaweka kusho jiranii, haka ka kamera kangu ntatisha wadauπNikuone Ivoivo tu six pack zanini sasa labda kupunguza kitambi ππ
Weka saivi na kesho utaweka tena nyingine!!Ntaweka kusho jiranii, haka ka kamera kangu ntatisha wadauπ
Mimi navojitahidi kuzishika zote vizuri isibaki hata note moja ikarudi ndani ya mashineππππ!!!!Hahahaha pole aisee ila una pesa chafu wewe
Hivi mimi nawezaje kusahau hela [emoji28]
Nacrosscheck mara mbili then natoka
Sina kamera ya maana jirani, utaogopa..Weka saivi na kesho utaweka tena nyingine!!
Siogopi mie mkubwa! Weka please!Sina kamera ya maana jirani, utaogopa..
Hapana chezea pesaMimi navojitahidi kuzishika zote vizuri isibaki hata note moja ikarudi ndani ya mashineππππ!!!!
Acha kuzingua Weka basiWapi jirani yangu Lenie ..
Ngoja nione kama naweza kuazima simu kwa jirani...Acha kuzingua Weka basi
Hawa the bus driver mwanamke una sukari sana weweNa hiki kimvua cha Dar na movies vinaenda sawa sanaπ€ͺ
Litatibikaje ?Mm ni mzembe haswa Ila tatizo langu linatibika taratibu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
ππ vumilia jirani...Acha kuzingua Weka basi
Nipo jirani, uhali gani
Me niko poa jiraniMie sijambo jirani..wewe je.
MiyeyushoπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈππ vumilia jirani...
Duh! Ni kabila la hela nini..Depal ni mams mzuri shida ana shinda benki muda wote ni helaπ²
πMiyeyushoπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈ