Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss lady mbona robo tatu ya sura ipo hapo[emoji2][emoji2]

Halafu, wewe unanifahamu kabisa, hata nikikuwekea pua pekee, inakutosha[emoji2][emoji2]
Umesahau we ndo ulinichomesha kuweka naked, kumbe watu hawajalala.[emoji2]
😂😂😂😂🤣🤣
Sikuhizi naked kwasanaaa tu best hata Usiwaze!!😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Why umeiba.ka hiyo pochi 😂

Afu m sio mkorofi 🤣 we kuwa mnafki mchezo? Shughuli imemshinda jua halijazama 😂😂😂😂
Safari za mchongo hizi acha tu🤣🤣🤣

Weee bila unafiki unafikiri tutaishi kwenye hii dunia😂
That last sentence though🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…