Aloo mimi na picha ni mtihani, jana tu shemeji yenu ameleta keki nikakata ofisini ila sina picha hata moja
Halafu wewe Tinsley sijaona uweke picha siku nyingi, hebu anza wewe
Hata ndugu mmoja tu labda alieolewa kule kwetu hatuna!!Muongooooo, wee ni wa kuleeee
Akati unaonekana tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£Dada unakulaaaa
Plate ya fundi ujenzi π€£
Ndio maana una mashavu kama ya miss Buza π
UchebeUchebe tuu, au kuna kingine?
AiseeDada unakulaaaa
Plate ya fundi ujenzi π€£
Ndio maana una mashavu kama ya miss Buza π
π€£π€£π€£π€£
Na hapa nashushia na fantaπ
Mbona miss Buzaππ
Msasani kwa mpembaLocation??
Njoo eneo la tukio, ni tamu balaaππHili limenisalivate kabisa
Yah, ilikua ni kumbukumbu yakwangu na yake.Ilikuwa siku ya kuzaliwa eeh ?
Kama hivyo Happy belated birthday kwako
Tatizo hushindi humu .. nimeweka picha sana
Haya, hii ya ijumaa iliyopita.Uchebe
Ujue we mkorofi sanaππSi ndivyo mashoga zake wanamuita πππ
Jaman ehhhUliwekaga hii siku za nyuma
Nmeikumbuka
Umekacrop mnooo Brian Nawewe kha!!Haya, hii ya ijumaa iliyopia.
Wasikudanganye kua ni ya zamaniView attachment 2295208
Na ka mwanya ka πHaya, hii ya ijumaa iliyopia.
Wasikudanganye kua ni ya zamaniView attachment 2295208
Boss hanuniwi selfika kidogo tuKwendraaa bana usinichoshe
Hongereni .. anniversary right ?Yah, ilikua ni kumbukumbu yakwangu na yake.
Asante sana.
Sasa leo nipo, hebu weka basi.
Eeh mambo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!
Boss lady mbona robo tatu ya sura ipo hapo[emoji2][emoji2]Umekacrop mnooo Brian Nawewe kha!!
Why umeiba.ka hiyo pochi π