Selfika na JF: Snap it. Show it

Hayo maziwa utayalipiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Safiiii.... huyo nesi atavimba apasuke mbona!!
Wee nenda tu kwa dokta nenda kamsamilie tu dear
!!
 
Ccy em fikilia hospital ya gvt tena private grade one wanaweka kakitanda kamgonjwa na kakiti kamoja.... Si kuumizana migongo huku
Ndio walivyoo mamy na ukikutana na nesi mwenye sitiresi zake ndio kama hivoo!!
 
Doctor sio mzee sio kijana.... Ila ananukia huyo
Khakhakhaaaa!!! kwa uzoefu wangu huyo nenda nae kwa step mamaa ukikaa vibaya anakupenya huyoo na ushaanza kumsifia manukato ohoooooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€­!!
 
Khakhakhaaaa!!! kwa uzoefu wangu huyo nenda nae kwa step mamaa ukikaa vibaya anapita huyoo
!!
Amekaa kimchongo kweli kweli.... Sema me madaktari hapana.... Me nataka wale wanaofanya kazi TRA peke Yao
nakuzingua bn ccy Antonnia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…