Siamini macho yangu mjue toka nizaliwe Leo ndyo nimewahi vocha ya halotel ubarikiwe sana Tajiri Mjep wa roho usiye na makuu mutu pekee mwenye bodyguard 4 View attachment 2294167
Kwema kabisa Carrasco putin humu ndani tumeamshwa na Antonnia na Lovelovie. Bado wengine wamelala akina cocastic na wengine wako church akina Saint Anne na wengine ndio wanatoka bar muda huu akina.............,,,,,, Wameshajijua! 🤣