Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,001
- 177,249
Forever and always!✌️✌️✌️Kwema kabisa Carrasco putin humu ndani tumeamshwa na Antonnia na Lovelovie. Bado wengine wamelala akina cocastic na wengine wako church akina Saint Anne na wengine ndio wanatoka bar muda huu akina.............,,,,,, Wameshajijua! 🤣
Leo nina mood ya kuselfika wacha nimalize kupika hapa!!💃💃



