Eeh ila zikija sasa na uzikose [emoji28]Naenda kulala tu usiku mwema boss dokta [emoji856][emoji856]
Nimepigwa na kitu kizito kichwani Mara ya mwisho kulala saa 6 ni muda sana nimekoma
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ukikaa morogoro unakua mfupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkoa mzuri sana ule
Naenjoy sana nikienda pale
Vyakula tele
Dafu wanasema linaleta bushaNa juice yake pia
Usisahau na dafu eeh
Leo nimeingia choo cha wajeda hapa [emoji856]Eeh ila zikija sasa na uzikose [emoji28]
Hebu tulia hadi na nusu yawezekana amelala
Nipo nacheki harusi
Hahaha ah wapiUkikaa morogoro unakua mfupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Eh kumbe
December hyoo maana Nina safari ya MoroHahaha ah wapi
Panga trip twende hiking milimani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eh kumbe
Acha mimi niendelee kunywa
Mweh pole my furendi
Ooh vizuri rafiki
Ni mikosi tupu nimeachwa, vocha nakosa, nimepoteza usingiz, mbu wananing'ata full masinondo migai gai tu [emoji24][emoji24]Mweh pole my furendi
Na hiyo avatar yako [emoji28][emoji28]
Na tezi dume
SawasawaMkoa mzuri sana ule
Naenjoy sana nikienda pale
Vyakula tele
Usijal doktaOoh vizuri rafiki
Sio ya kukosa hiyo
Hiyo imefanyiwa utafiti au maneno ya mtaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Tezi sio kweli mkuu..Na tezi dume
Utafiti kbsa ila kwa wanaume tu kwa wanawake sijajuaHiyo imefanyiwa utafiti au maneno ya mtaani
Haha sasa wewe ungekuwa na bebi angekubembeleza ila umeamua kuwa single .Ni mikosi tupu nimeachwa, vocha nakosa, nimepoteza usingiz, mbu wananing'ata full masinondo migai gai tu [emoji24][emoji24]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hili gonjwaTezi sio kweli mkuu..