Achana na Lovelovie huyu alikua mpambe tuuuu, hapa umefika mrembo na dada kashafanya yake
Nipewe nini mimi tena jamani
Nautangazia umma wa selfika mzungu ni wangu tuuu, ngojadogo Saint Anne aje aniandalie mistari nianze kushusha hapa mmoja baada ya mwingine