Selfika na JF: Snap it. Show it

Jana ilikua Kemia Dr!!👇
madogo walikua wanatetemeka hadi wengine wakavunja vifaa!!
Ningekuwa Mimi ndy nimevunja hizo mambo ningeenda home Kusema nadaiwa hela ya apparatuses au nimevunja laboratory kisha narudi shule nimejaa mihela 😅😅

Wengine Wazazi wetu wa zamani elimu ilipita kushoto kidogo
 
Weeeee watalipa kweli nimenotice majina yao watakuta madeni kwenye clearance Najua hawa wanaochukua kemia /Phys wamechujwa ipasavyo so kama wote lazima watafaulu walau na watakuja kuclear tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…