Wee mbona nilikunanihii mjomba wangu!! Acha utani ujue!!Umenitenga shangaziii sikupati kabisa kila nikija
Which class??Phys 2A
ππππ mmhWee mbona nilikunanihii mjomba wangu!! Acha utani ujue!!
4 Mock mkoa!Which class??
Mwenyeji hiyo kwa kikombe ni kahawa au chai??
Kweli mjomba!! Usiniangalie hivo jamani!!ππππ mmh
πππππ nimepatwa na ushunguuuu... ebu ona tu yaniKweli mjomba!! Usiniangalie hivo jamani!!
Kumbe Mock sahivi.4 Mock mkoa!
Usisikitike hivo mjomba wangu jamani!πππππ nimepatwa na ushunguuuu... ebu ona tu yani
Mbona wanamaliza kesho walianza 27 june hadi 15 July!Kumbe Mock sahivi.
Duuh wapambane madogo.
πππ eeh
π π π ππππ eeh
kitambo shos akee!! Bariki mchana wangu shoss akee!!Nyie mpost picha hizo, mnachati tyuuh kwan hapa ni jukwa la story?
Wekeni hizo picha.
π πMbona kunilegeza uwiiiiii!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!!
Aunt nilitekwaHuyu siyo aunt yangu ninayemjua
Wallah kapokonywa simuπ€£π€£π€£π€£
Watoto ndy hupenda Kuwait's wenzao madogo..Sawa mkubwa fikisha ujumbeHuyo dogo anae balaa,, nitaku VN ujumbe wake