Hebu aje hapa atoe maelezo [emoji23][emoji23]Mr vocha au jana alichanganya mafaili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Anakuita kaka kwamba anataka kukunyima nini π€£π€£π€£ππ!!
Hahahahaaaa!!Ewaaaaa.......
Nasema madam leo akichomoa hapa inabidi nikaoge bahari ya hindi
Madam Antonnia maisha matamu yaja tafadhali zingatia maneno ya kaka mkubwa Carrasco putin
Haya bana ngoja nifanye confidentialNani tena??[emoji848][emoji848][emoji848] weee Antonnia kama Antonnia hajawahi na haitatokea kuwa na mtu humu usimtafutie hekaheka kubwa lao[emoji6][emoji6][emoji3526][emoji3526][emoji854][emoji854]
Hahaha huyo chautundu ana tuchora tu
Mmhh kisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani ananiita Kaka sijui anataka aninyime nn yani [emoji856]Anakuita kaka kwamba anataka kukunyima nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
Sawa jirani ngoja nivute subra!!Subira ina heri jirani...
Nafurahia huu urafiki wa chitchat zaidi !Hapana Uncle Mjep ni mtu mzuri sitanii ujue... Kubali kuingia kweny ukoo wetu
π πNafurahia huu urafiki wa chitchat zaidi !
π π
Kweli jiran, ila humuhumu wapo raia wema mpaka basi..Kweli Kabisa jirani
urafiki mtamu sana huu mtu unajiachia mpaka!!
Sote tu raia wema jirani [emoji6]!!Au wema upi wausemea wewe jirani???[emoji14]Kweli jiran, ila humuhumu wapo raia wema mpaka basi..
Wema wa kukaribishana..Sote tu raia wema jirani π€£π€£π€£!!ππ Au wema upi wausemea jirani???
Nini kinaendelea π€
Hahah... kukaribishana kama kukaribishana ausio!!! Huo safiiii pia ila ni wa wachache wanaojielewa jirani[emoji106][emoji8]Wema wa kukaribishana..