Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Muogope sababu ni mpole mstaraabu mtaani wanamuita pedeshee jeepweee kubwa lao usinitafutie mabalaa humu!! Tena huyo ndio kabisaaa namuogopa kama ukoma!!! [emoji119]!!
Hujambo jirani...weee kubwa lao usinitafutie mabalaa humu!! Tena huyo ndio kabisaaa namuogopa kama ukoma!!! π!!
Sijambo jirani habari za asubuhi!!Hujambo jirani...
Salama jirani...Sijambo jirani habari za asubuhi!!
Tena Hao mapedesheee ni wa kuwakimbia kabisa!! Sitaki kufa kwa presha Kabla ya siku Zangu mie maisha matamu aisee!!Muogope sababu ni mpole mstaraabu mtaani wanamuita pedeshee jeep
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Maisha hayawez kuwa matamu bila uwepo wa Mjep embu mpe nafasi awe tulizo la moyo wakoTena Hao mapedesheee ni wa kuwakimbia kabisa!! Sitaki kufa kwa presha Kabla ya siku Zangu mie maisha matamu aisee!!
Salama jirani...
Subira ina heri jirani...Still waiting jirani
Hahahahaaaa!! Huyo nitamuwezea wapi mie acha nipambane tunahali yangu kubwa lao!!Maisha hayawez kuwa matamu bila uwepo wa Mjep embu mpe nafasi awe tulizo la moyo wako
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwan yule wa jf alikuwa anakulimit sana shem jamanHahahahaaaa!! Huyo nitamuwezea wapi mie acha nipambane tunahali yangu kubwa lao!!
sio Huyo tu hata yeyote Jf Sitaki sitiresi za rejareja kabisa!!
Kwanza nipo huru sana najiachia nitakavyooo.. habari za kulimitiwa humu hapanaaaaa...
Pia nishazoea kucheka kufurahi na kuchati nao kama wote sasa habari za kuanza kuliana buyu aaaahhh hapana acha huu urafiki mzuri uendelee kuwepo milele na milele
Ewaaaaa.......Maisha hayawez kuwa matamu bila uwepo wa Mjep embu mpe nafasi awe tulizo la moyo wako
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nani tena??π€π€π€ weee Antonnia kama Antonnia hajawahi na haitatokea kuwa na mtu humu usimtafutie hekaheka kubwa laoππβΊοΈβΊοΈππKwan yule wa jf alikuwa anakulimit sana shem jaman
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nipo
Wewe tunakupa dadake na @Corrasco Putin tulishakubaliana hilo !!Ewaaaaa.......
Nasema madam leo akichomoa hapa inabidi nikaoge bahari ya hindi
Madam Antonnia maisha matamu yaja tafadhali zingatia maneno ya kaka mkubwa Carrasco putin
Hahha , Usukani wapi dear ?Tinsley si ndo dada mkubwa mwenyewe Anaeshikilia usukani hapo lakini!![emoji3526][emoji3526]!!
Naona kuna mtu jana alichanganya mafailiπ€£π€£π€£π€£!!Hahha , Usukani wapi dear ?
π€£π€£π€£π€£ππππππZa Asubuhi Mr . Vocha
Mistari yaani nyimbo zile ?