Selfika na JF: Snap it. Show it

Dalili nzuri hizi mkemia
Mdogo wangu Lovelovie endelea kumwaga mistari madam ameshaanza kutabasamu mdogo wangu nakuaminia
 
Mpende boss asiye na makuu Mjep bana anajua kupenda kuliko kusaliti

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Huyo si anasubiria dada yako lakini umesahau kubwa lao??? Atamfaaa sana dadako acha dada amfaudu Mjep asie na makuu kama ulivosema! Mie moyo na mwili vishakufa ganzii kabisa sina hisia kabisa mwenzenu!!
 
Hapana nyota njema huonekana asubuh fanya jambo najua moyo wako upo kwa Mjep

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…