Ukichek ile documentary yake kule podcast cjui ? iko rated 1/10 π π π π em itafute af fatilia maoni ya manyuuu wenzioπ π π π ana hairstyle mingi kuliko hata magoli anaplay vzur sema mvivu yaani kilaza
ππ sawa jirani,Ntakualika binafsi jirani kama ruhusa ipo..
Wanaitwa βtia maji tia majiwako konferensi ligi afu yule goti wao anawatishia kuhama π π π π π soon watakua relegated
forward wenu hawajakomaa, ni mara mia umuanze yule goti kuliko rashfodi π π π mafowad wenu heri walau Sancho wengine wana poor ball controlYule akisepa hakuna shida, sasa tuna mwalimu mzuri.
Rashford tangu ajiingize katika siasa na kujua mbususu mpira umekufaforward wenu hawajakomaa, ni mara mie umuanze yule goti kuliko rashfodi π π π mafowad wenu heri walau Sancho wengine wana poor ball control
Wewe unapiga kwa mbali mbaya kweli kweli weweWanaitwa βtia maji tia maji
Hama sasaRashford tangu ajiingize katika siasa na kujua mbususu mpira umekufa
Mimi sijawahi kuhama timu kama weweππππHama sasa
manyuu muanze cheza golf hapo old stadium
haya endeleeni kuishi kwa Old glory π―Mimi sijawahi kuhama timu kama weweππππ
Hivi huyu Pau bae ni yupi??haya endeleeni kuishi kwa Old glory π―
Kabla ya kuwa mshabiki wa chezea fc ulikua timu gani?haya endeleeni kuishi kwa Old glory π―
ndio mimi boss, they are the same pasonHivi huyu Pau bae ni yupi??
Ana undugu wowote na Pau Montana??
Nilikuaga the gunner nikaona wababaishajiKabla ya kuwa mshabiki wa chezea fc ulikua timu gani?
Ningekua na uwezo ningezuia huu utaratibu wa kubadili user namendio mimi boss, they are the same pason
Aah Mkuuπ π π kua mpole basiiNingekua na uwezo ningezuia huu utaratibu wa kubadili user name
Ahahahaha ndio maana hiyo picha imekugusa π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nilikuaga the gunner nikaona wababaishaji
nikaja chelsea
lil e la zamani halisound vizuriNingekua na uwezo ningezuia huu utaratibu wa kubadili user name
π π π π πAhahahaha ndio maana hiyo picha imekugusa π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Asante na kwako pia, usisahau kusali.π π π π π
usikumwema mkuu
Ninetulia tulii kama majiπAah Mkuuπ π π kua mpole basii
howβs wewe?