Alianza kunambia tokea naenda chuo,, huku tena akanikumbushia..
Ningemsikiliza sahivi ningekuwa mbali sana, pia ningekuwa nishakomaa uso sana π€£ komwe lingekuwa limekuwa afu limekuwa tena πππ
Nahisi vile wanavyovutwa, nywele inarudi nyuma sijui.. komwe linaanza kuota