Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe hauna Komwe hata ukiweka zikavutika nyuma kichwa chako kiko vizuri
 
Hishoria mujarab kabisa
 
Mama ametisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Anakupa full support

Hahahaaa hivi kwanini rasta zinasababisha komwe lakini.
Kuna ndugu yangu yuko huko alikua na rasta zikawa ndefuuuu ila komwe sasa๐Ÿ˜
Kazikata last yr saivi komwe limepungua anaonekana mbiurifooo
 
Alianza kunambia tokea naenda chuo,, huku tena akanikumbushia..
Ningemsikiliza sahivi ningekuwa mbali sana, pia ningekuwa nishakomaa uso sana ๐Ÿคฃ komwe lingekuwa limekuwa afu limekuwa tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nahisi vile wanavyovutwa, nywele inarudi nyuma sijui.. komwe linaanza kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ