Kumbee!!???!!Nimekosea Mimi,nimekosea Sana..
Ila kiukweli mtu akikutajataja si anakukubali..imekuwaje umeshindwa kujiongeza dogo?
Nadate for benefits siwez kumaliza nguvu zangu na bado nikupe na helaKhakhakhaaaa!! Mamdo una vituko wewe!!
Usimfanye ajute kukupenda bana!!
Ouky[emoji847][emoji847]Mjep akituma nakufowadia
Basi sauwaa mamdo ngoja Mie nisinzie kwanza hapa nishatupia ugali wa shule π!!Nadate for benefits siwez kumaliza nguvu zangu na bado nikupe na hela
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
πππππ makubwaaNadate for benefits siwez kumaliza nguvu zangu na bado nikupe na hela
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Madogo yana nafuu nakwambia!! Anavojiamini sasa!! Bora angekua bosi mwenye pesa zake za maana walau ndio angesema hivo khaa!!πππππ makubwaa
Somo la mafumbo aka kujiongeza me nishafeligi ππNimekosea Mimi,nimekosea Sana..
Ila kiukweli mtu akikutajataja si anakukubali..imekuwaje umeshindwa kujiongeza dogo?
Uki selfie uta nitag π€π€π€π€π€π€πππ
Basi ntaitafutia sehemu ya kuivaa yenyewe ππ
Umejuaje sio boss mwenye pesa zake, mbona mnatunyanyapaaa sana humu tusio na pesa why why whyMadogo yana nafuu nakwambia!! Anavojiamini sasa!! Bora angekua bosi mwenye pesa zake za maana walau ndio angesema hivo khaa!!
Hahahaaa... kumbe ni bossi anatutega na kugombania vocha ili tusimpige vibomu????!Umejuaje sio boss mwenye pesa zake, mbona mnatunyanyapaaa sana humu tusio na pesa why why why
[emoji23][emoji23]Nadate for benefits siwez kumaliza nguvu zangu na bado nikupe na hela
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
π³π³π³ mie huyu lini ?Hahahaaa... kumbe ni bossi anatutega na kugombania vocha ili tusimpige vibomu????!
Hongera zake sana...
Weee nani kasema wewe kapuku weeeeeeeehhh!! Kuweka vocha za 50000 unadhani mchezo!!!
Anajiamini sijui nini ππ au ndio wale mrefu mwembamba anakuwa vyedi π π€£π€£Madogo yana nafuu nakwambia!! Anavojiamini sasa!! Bora angekua bosi mwenye pesa zake za maana walau ndio angesema hivo khaa!!
Vijana wana tabu sana!Anajiamini sijui nini ππ au ndio wale mrefu mwembamba anakuwa vyedi π π€£π€£
Basi anajiona ye ndio yeye
wewe na Antonnia mbona mnatusagia kunguni tusio na hela ? hata kama hamtaki kutupa si kimya kimya tu inatosha.. alafu nipo pale au waogopa kujaAnajiamini sijui nini ππ au ndio wale mrefu mwembamba anakuwa vyedi π π€£π€£
Basi anajiona ye ndio yeye
Hatutaki kuwapa nini mjomba??? Tunachat kusogeza masaa tu mjomba wangu nothing real..usichukulie siriaz mjomba akeeπwewe na Antonnia mbona mnatusagia kunguni tusio na hela ? hata kama hamtaki kutupa si kimya kimya tu inatosha.. alafu nipo pale au waogopa kuja
Binafsi siwawezi mjombaa πdawa ya kikohozi ππ