Selfika na JF: Snap it. Show it

Kheee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua Endless love naipenda ile aliyotafsiri DJ MUPPHY?
huwa nacheka hadi nalia machozi, yaan amejua kuitendea haki kabisaa. Sipendi zilizotafsiriwa kwa kiswahili ila hii ya DJ mupphy ni kiboko.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kujitetea 🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23] hapo kutafsiriwa ndiyo mtihani. Huwa siangaliagi hizo. Hazinipi stim.
 
Acha kujitetea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk series zote nazotazama iliyotafsiriwa kwa kiswahili ni hii tyuuh, nenda kaicheki uone, mie nlishatazama enyewe OG,

Hii ya Dj Mupphy kupoteza muda tyuuh, aaah wee ile kaua bhana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani unamsifia mkaka mtamu kwenye movie kama ni mpenzi wangu tumeshaachana Muda x wangu tu alimsifia mkorea fulan eti ana kifua kizur nikijiangalia mm mbavu 2 toka siku hyo sikutaka mazoea nayo

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Ni michezo yako πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaume mna vioja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…