Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilivaaga suti balozi akapiga mayowe nikataka nipewe mke toka siku hyo sitak kusikia Habari ya suti

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo ukaogopa kuozeshwa ndoa ya Mkeka?

Shida ya suit ni kuitwa Kiongozi wakati mfukoni hakuna kitu 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…