Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Nipo zangu mbeleWazee wa VPN wanaelewa hzo picha [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Unaendeleaje jiraniMwehu wewe🤣
Hii nchi ina vijana wa hvyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Nipo zangu mbeleView attachment 2276811
😄😄😄😄 Nipo hapa na sweet mankaHii nchi ina vijana wa hvyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Aisee....sawaView attachment 2276814
Kuna vijana hawajui kuwa hizi zilikuwa ni Sare za TAA kabla ya TANU miaka Ile, hapo tulikuwa tumeanza harakati za Kudai Uhuru Kwa Mkoloni 🤪
#VyakaleDhahabu#
Naendelea vizuri, shkamoo jirani.Unaendeleaje jirani
Marahaba jirani, Mungu akuzidishie afya..
Na matumizi ya site zingine zilizokatazwa na nchi [emoji16]Legendary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeshindikana ww Jamaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ilitaka kunianza ile saa 11Unaendeleaje Ile hali ya jana jirani
Selfika bana, hapa sio uwanja wa mpiraHuu ukimya unaosikika mitaani ndo unaotakiwa.. 🤣🤣
Usiache kunywa tangawizi jirani, asubuhi na jioni..Ilitaka kunianza ile saa 11
Nikameza panadol chap
Now I’m okay!
Jirani eeh,, nahisi ni hii baridi inaumiza.
Huu mwaka baridi imekuwa kali sana
Naogopa aisee
Usiku wa kuwa karibu na blanket chapa mtu ..Usiku huu na baridi hii......
Sawa jirani, NajitahidiUsiache kunywa tangawizi jirani, asubuhi na jioni..