Ah kule wameshaharibu mambo...mie nilikuwa na subiri kimasikhara yako ya pili naona jamaa katibu mambo mpaka umeghairi kiweka au na wewe nae handsome boy kakutia biti usiandike kimasikhara🤣🤣🤣🤣
Haya, pole Mama yangu. Samahani nilikuwa nakuchemsha tu. Nikasema niingie humu kuharibu stori zenu. Ngoja nizifute na hizo picha. Pole na kusamehe, nimekukwaza.
Ah kule wameshaharibu mambo...mie nilikuwa na subiri kimasikhara yako ya pili naona jamaa katibu mambo mpaka umeghairi kiweka au na wewe nae handsome boy kakutia biti usiandike kimasikhara