Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
June 203238 parefu sana mkwe...
Kwa mabinti wote mlioko hapa selfika sidhani kama kuna ambaye ameshavuka 32. Nyote watoto wadogo tu.
I wish selfika iendelee mpaka miaka 10 mingine ijayo huko halafu tukutane hapa kuleta mrejesho kwa watakaokuwa hai bado...
InajulikanaSasa mie sina tako? Kwan nakalia kisogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-ha!
Ukute ndio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee, ulikua buzzy.
Venue ya Coet.Uliniona wapi?[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan DR?We utakuwa na jini mahaba, siyo bure[emoji28][emoji28]
Sasa wee kutongoza ili uwe na confidence, mwenzio atazame chini au a one aibu? Kwenye kutongoza n hivyo na kwenye kuzagamuana? Ndo utasikia zima taaa, mie sizimi taa nataka tuonane live kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo cocastic siyo binadamu wa kawaida,atakuwa na Pepo au amezoea mkuyenge[emoji28]
Ni ngumu mwanamke unamtongoza alafu akuangalie usoni..ngumu Sana maana kiasili mna aibu.Sasa yeye si Tu anakuangalia usoni,yeye ameenda mbali zaidi anaangalia suruali anathaminisha mjegeja[emoji28][emoji28]..wa kawaida huyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Wige hii week umeamka na mie.Na hivi hana
Hata lile skonz
Bhas
Ni tafran tu
Hahahaaa ila Wige!!Inategemea na aina
Ukilikuta li konk
Mnatazamana mwanzo mwisho
Kuna wale tumsifu nyingi
Hao hadi jani linavunjwa vujwa au kuchora chora chini
Kuna kina Haambilili
Hapa unategemea nini[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mtu ni hatareeeeh,Ukute ndio
Kyaruzi mwenyewe
Utafurahia show[emoji1787]
Nani kasema nawee?Inajulikana
Mbona
Kyaruziπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!Ukute ndio
Kyaruzi mwenyewe
Utafurahia show[emoji1787]
Nimemuaomba aje anichukulie zawadi yangu Shangazi π¬π¬π¬Hahahaaa ila Wige!!
aje achukue zawadi amletee shangazi ehhh?? lol barikiwa sana mjomba najua atanifikishia tu!!. Good morning mjomba wangu mie!!!Nimemuaomba aje anichukulie zawadi yangu Shangazi π¬π¬π¬
Safi sana jiraniNipo nasimamia mock form 4 kipenzi mie veteran simu natulia kwa kuibia ibia!!
πππβ₯οΈ
ππSafi sana jirani
Hadi unipe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Wige hii week umeamka na mie.
Poaaah bhana.
Jirani bado naendelea kusubiri nile mbivu!!Safi sana jirani