Kichwa inawaka moto ukifikiria tar za kulipa cha watu Imefika πππHii michezo itatutoa roho haki ya nanπ€£π€£
Umeamka poa shost angu?
Wajumbeee ππKitu inanukia hii balaaπ
Sasa shangazi si uolewe tuache kuuliza uliza πAsante Kwa ujumbe.
Swali namba nne huwa linanikwazaga hasa la kuolewa
Waoaji hawaonekani hakyamama tena ni mwendo wa kuwindana.cha msingi tuendelee kujenga nchiπSasa shangazi si uolewe tuache kuuliza uliza π
Utanitetea tuSidhani km nitakutetea[emoji3][emoji3]
Mimi pia aise..umekuwa adimu sanaChanguuuu nilikumis sanaa
Assalam Aleykum jirani..Salam kwenu...
Uko poa lakini? Daaah siku nyingi sana ..mihangaiko ya hapa na paleMimi pia aise..umekuwa adimu sana
Wapo bana ππWaoaji hawaonekani hakyamama tena ni mwendo wa kuwindana.cha msingi tuendelee kujenga nchiπ
Waalaykum Salam jirani..Assalam Aleykum jirani..
Sijambo, nakuona..Waalaykum Salam jirani..
Hujambo,
Hao wa Uko wa napiga sana.hivi hauna kaka yako mrefu hivi mwenye upendo wa agape tuunganishe upendo wangu wa Yesu tuunde familiaWapo bana ππ
Njoo huku Longido wamejaa, ni kuchagua tu
Niko poa sana ninamshukuru Mungu.Uko poa lakini? Daaah siku nyingi sana ..mihangaiko ya hapa na pale
nipo jirani..Sijambo, nakuona..
Unatamani ujisahaulishe ile wapiKichwa inawaka moto ukifikiria tar za kulipa cha watu Imefika πππ
Niko poa kabisa, sema baridi kama loteβ¦
Hatari sana wajumbeWajumbeee ππ
Unaanzia wapi kujisahaulisha π wajumbe watakutoa masikio..Unatamani ujisahaulishe ile wapi
We jana usiku si ulienda kununua sweta, hukupata la size yako au ulikuta yameisha?π
Coca tuma namba yako,,kwan ukinitumia namba yako kuna ubaya gan!nambie nijue memeAkaaaah tuma ya halotel