Selfika na JF: Snap it. Show it

Wazee wa kazi tunaamka viti virefu mida ya kazi[emoji23][emoji23]. Halafu raha ya huku hata wale wazee[emoji1459][emoji1459][emoji1459][emoji1459][emoji1459] wanaokamata wanywaji kabla ya muda hawajagi huku.

Itabidi nihamie kwenye ule uzi wa walevi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mbona huna chupa mkononi sasa.. Basi baki huku huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…