🤣🤣🤣si ndio maana naziba sura...nikiacha wazi hamtalala nyinyi warembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa wewe ukisema sura yako imefanana na mzimu na sie wengine tusemeje?? Haki watu mna kufuru jamani!!
Na hii ndio inavyotakiwa..uwe umeiona hiyo mechi au laHilo ndilo la muhimu.
Na wapinzani wangu wote wataisoma namba tukishashinda[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]si ndio maana naziba sura...nikiacha wazi hamtalala nyinyi warembo
Ila wewe utakuwa mdogo wanguNahisi nina minyoo saizi ya anaconda maana nanenepaga Xmas tu!
Halafu hii sura inanikosti sana mpk watu kama Depal wananichukulia mdogo wao[emoji23][emoji23]
Na kweliInawezekana mbona.
Mmejiendekeza tu
Mbona sijawahi kuziona?!Full nimeweka Mara 2
Tuwekee full Basi tusuuze roho[emoji7][emoji7]Asante sanaaa [emoji3590]
Niliweka usiku usiku.Mbona sijawahi kuziona?!
Tupia basi Sasa hivi
Wala sikudanganyi kabisa....miili yetu wengine ndivyo ilivyoDaah kwahiyo umeamua kunidanganya hadi mimi dada yako kweli??
😂😂😂😂Zisi iz e fakti mai dia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ah wapi wewe
Ndio maana...fanya basi na leo😊Niliweka usiku usiku.
😆😆😆Inapendeza kujitia moyo mpendwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wewe utakuwa mdogo wangu
Wekeni na mi niweke kabla watu hawajaamka...nipate lala usingizi mwanana leo😊Tuwekee full Basi tusuuze roho[emoji7][emoji7]
Tuwekee kwanza Basi HB jamani [emoji7]Wekeni na mi niweke kabla watu hawajaamka...nipate lala usingizi mwanana leo[emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Inapendeza kujitia moyo mpendwa
Naisubiri yako kwanza nioshe macho ili yaoneNdio maana...fanya basi na leo[emoji4]
😆😆😆Naisubiri yako kwanza nioshe macho ili yaone