Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Mm mdogo toka lini[emoji856][emoji856]Kuhusu nini mdogo wangu??
Lenie kwanini sasa mnawafanyia vijana wa watu mambo kama haya ๐คฃ๐๐๐ nyie wa kishua, ma sie wa matopeni huku wapi na wapi.. acha tupambane na size zetu.. mtoto akila mihogo na pepsi chali.. sio nyie hadi mumtunuku mtu kafilisika tayari ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nafanya mazoezi kwanza jirani...siksi pakShaka ondoa jirani selfika ๐
Ehhh[emoji8]
Lol kumbe uko mkubwa!?? Basi Sawa kuanzia leo nimekoma kukuita dogoMm mdogo toka lini[emoji856][emoji856]
๐๐๐ kazana aiseeNafanya mazoezi kwanza jirani...siksi pak
Marahaba dokta. Na heshima hiyo ikurudie 7 mara sabini....Mkuu heshima yako..shikamoo
๐คฃ๐คฃ๐๐๐ kazana aisee
Ngoja 'nirare' nae mbele [emoji3][emoji3]
๐คฃ๐คฃ๐คฃUshaambiwa hao ni wanaune 4 tofauti๐
Watu tucheze kwaitoooo๐๐๐๐๐ wakuje bana,, watu mule ubweche
๐๐๐๐ hawajui hawaMbona mihogo me nakula sana๐๐
Tatizo litakua hawafanyi machaguo sahihi au wanafata maslay queens