Unajua kwenye hili jukwaa la selfika ukishinda humu ni rahisi kumjua mtu anapobadili user name maana muda wote mna interact.Nje ya hapo tukikutana huko kwningne inakuwa ngumu sn.Pili ukizoea mwandiko wa mtu ni rahisi kumtambua hata akibadili jina
Mfano huyu jamaangu
_King mwandiko wake unafahamika sn ingawa anaongoza kubadili majina km mwizi