Mzee anae pesa, sasa yanini akatuoteshe sugu za viganja!! AweeeeEeh nilisahau, kumbe tumeweka tips😂😂
Af mafao si yametoka, basi tutatumia hiyo hela kulipia cheap leba
@_kingMicasa hiyoo
Nipo vile nipo hivi???Selfika
Unajua nini
Sijawahi kuona selfi yako
Haki vile
Nakuta(ga) sifa lukuki
Upo hivi
Upo vile
Ebu nithibitishie
Mfyuuuuu kuniongelesha tu hadi vocha inanipita.Umekuja eeh
Nibariki
Nkamu karibu tena
Tumemalizana, Karibu.[emoji23]
Nataka unilipe deni langu . Popcorn nilikula jana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuona
600 Huyo[emoji1787]Mfyuuuuu kuniongelesha tu hadi vocha inanipita.
Wewe hujawahi kuniona?
Weka picha au vocha ndiyo utajua kama watu wapo au laahUnaweza kuona
Pako kimya
Lakini imeshatumika[emoji1787]
600 mbayaa wewe[emoji1787]
[emoji1787]Weka picha au vocha ndiyo utajua kama watu wapo au laah
Haya selfika sasa[emoji1787]
NakusubiriHaya selfika sasa
Wapi tena?Nakusubiri
Wabheja sana nkamuNkamu karibu tena