Saizi huu uzi unakoelekea ukiona picha yenye kuleta taharuki nafsini mwako kabla hujacomment zile Wow Wow inabidi ufanye kwanza upembuzi yakinifu ili kujithibitishia jinsia ya mtumaji. Maana unaweza kukuta umemtumia emoji ya makopa kopa mwanaume mwenzako.