Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeumisi sana huu uzi, aisee nawasalimia wote, maisha mda mwingine yananyima nafasi ya kuwa karibu na ndugu, jamaa na marafiki...mliopo tz wengi wenu najua huu mwezi ulikuwa mgumu sana kwenu hasa kwa wafanyabiashara, ila unaisha all LOVE from the wolf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…