Selfika na JF: Snap it. Show it

Kizungu sikijui

Sasa kwanini

Nisikandamize[emoji848][emoji1787]

Halafu

mother tongue pub

Ni mpya na ipo kwa wapi hapo mjini[emoji848]
Mother tongue is a lg which a person has grown up speaking from early childhood….


Kila mtu akagandamize chenye anajua… wa kiswa- engl, wa eng, wa mother tongue, wa codes, wa kisw, wa kichuga nk
 
Saint Anne happy birthday kipenzi[emoji3531]. Ikawe siku yako yenye heri na kumbu kumbu nzuri hapa duniani... Ukawe Nuru, na Neema Kwa watu wote.. Muumba azidi kukuimarisha zaidi katika afya, akili, hekima na maarifa... Iwe siku njema kwako[emoji8].
Amen,

Akhsante dear [emoji3590]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Amen[emoji847][emoji120]
Namshukuru Mungu Kwa ajili yao.
Huenda wangeamua kupumzika wasizae tena...Lakini wakaona waniongeze na Mimi mwishoooni.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…