Duh πππ nyie watu mnazinguaAmini hilo pesa pesa pesa unamtongoza demu tu anauliza unafanya kazi gani
Ahh Kaka hawa viumbe basi tuAisee....labda walijua unatania.
Afu huu mwandiko kama wa shemeji maana swaga zako Leo za kibabeDuh [emoji16][emoji16][emoji16] nyie watu mnazingua
Anavyo ππKwan shemeji yy Hana vinoti eti
Wee nitumie video ndio na mimi nakufundisha kuhideπHata ile view once kuna namna naona bana π€£π€£π€£
Umehide aje? Nataka unifundishe, nipunguze zile βmbona hujibu na umesoma ππ
Video sikutumii, mdada mzuri huna screen record.. una shida gani π€£π€£
Kula zoezi π π
Imajini[emoji2369]Amini hilo pesa pesa pesa unamtongoza demu tu anauliza unafanya kazi gani
Sasa hv nataka nidili na Mama ntilie Nile nakula bure tuNa
Wanatuokoa mno
Hawatabiriki ila komaa kama mwanaume, utafanikiwa..Ahh Kaka hawa viumbe basi tu
Umempendea vinoti au upendo kutoka moyoni Sema ukweli Shem [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Anavyo [emoji16][emoji16]
πππ leo umeru umenijaaa, tuliza ballAfu huu mwandiko kama wa shemeji maana swaga zako Leo za kibabe
Mie nina kondaktaSasa hv nataka nidili na Mama ntilie Nile nakula bure tu
Wengine kukomaa sana hatuwezi kakaHawatabiriki ila komaa kama mwanaume, utafanikiwa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nina kondakta
Eicher za mbagala
Hivi namsubiri hapa shell
Maisha yanasonga
Ila ana wivu huyo
Utakua umepiga na pafu moja ya Kho Kho Kho[emoji1][emoji1][emoji1] leo umeru umenijaaa, tuliza ball
Mjini hapa mpwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mbinu zako nitazichukua
Ngoma ya moyoni shem π πUmempendea vinoti au upendo kutoka moyoni Sema ukweli Shem [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nidili na Mama ntilie tu na wauza ujiImajini[emoji2369]
Mnachat kidogo
Unaambiwa kesho besidei yangu
Nataka zawadi
Hujakaa sawa
Nimepungukiwa laki 2 ya keki
Wewee
Nani boya
YahyahwwwUtakua umepiga na pafu moja ya Kho Kho Kho
Dahhh kubebisha Tena kwangu mbona ngumu sana KakaMjini hapa mpwa
Yaani bila kujiongeza
Hutoboi
Kuwabebisha tu hao
Kina Aisha Mikazo wetu
Invoice za hapa na pale usizikimbie, ndio mapendo hayo πImajini[emoji2369]
Mnachat kidogo
Unaambiwa kesho besidei yangu
Nataka zawadi
Hujakaa sawa
Nimepungukiwa laki 2 ya keki
Wewee
Nani boya