!!π[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah!! Ama kweli tumekutana. Itabidi tuweke appointment kabisa khaaaa!!!.
Kwamba anataka kukunyima nini kwani mfano??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hivi una nn ww[emoji34][emoji34]
Noumaaaa, refu haswaaa... Hata ndani ya baibui laonekana tuuToto Refuu afu umejazia sasa dahhh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ni kuzuia usilale. Inapanua mishipa ya damu na inaufanya moyo kusukuma damu kwa wingi hivyo mtu unajisikia una nguvu kwa muda. Vijana wa kisasa hunywa hizi drinks wakipaka vumbi lao la Kongo ili eti wapige show za kibabe!Huwa inasaidia nini?
MrBasi niambie nikuite nani [emoji16]
[emoji7][emoji3059]Kabisa shou
!![emoji8]
Nashangaa yani ndyo yale yale ohh ww nakuona kama Kaka anguKwamba anataka kukunyoa nini kwani mfano??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hahahaaa!Nashangaa yani ndyo yale yale ohh ww nakuona kama Kaka angu
Umeshatoa siri mkuu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji27][emoji27][emoji27]Ni kuzuia usilale. Inapanua mishipa ya damu na inaufanya moyo kusukuma damu kwa wingi hivyo mtu unajisikia una nguvu kwa muda. Vijana wa kisasa hunywa hizi drinks wakipaka vumbi lao la Kongo ili eti wapige show za kibabe!
Ukiwa addicted hii hali ya kuwa alert na nguvu ikiisha inabidi unywe tena na tena; tena kwa wingi zaidi. Matumizi yake kwa muda mrefu hatimaye huweza kuleta matatizo ya moyo, presha na hata kisukari. Wengine pia huharibu hata figo japo haijajulikana ni kwa nini hasa.
Marekani na sehemu zingine duniani energy drinks zote zimeanza kuwekewa warning ili watu wazitumie kwa uangalifu.
Yaonekana leo una furaha mpaka basi. Safi sana!Iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8][emoji8][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] The law of use and disuse asanteeeehh[emoji3590]!!
[emoji8][emoji7][emoji173][emoji7][emoji3059]
Duh nimeelewa Sasa.. tatizo vijana wa Sasa hawasikiiNi kuzuia usilale. Inapanua mishipa ya damu na inaufanya moyo kusukuma damu kwa wingi hivyo mtu unajisikia una nguvu kwa muda. Vijana wa kisasa hunywa hizi drinks wakipaka vumbi lao la Kongo ili eti wapige show za kibabe!
Ukiwa addicted hii hali ya kuwa alert na nguvu ikiisha inabidi unywe tena na tena; tena kwa wingi zaidi. Matumizi yake kwa muda mrefu hatimaye huweza kuleta matatizo ya moyo, presha na hata kisukari. Wengine pia huharibu hata figo japo haijajulikana ni kwa nini hasa.
Marekani na sehemu zingine duniani energy drinks zote zimeanza kuwekewa warning ili watu wazitumie kwa uangalifu.
Khaa maji marefu hayo kwangu mm acha nidili na beki 3 tuKauelewa mzigo huo shou sio kosa lake [emoji6][emoji6][emoji14]!!
Ndugu mhariri naomba unisameheπππNkamu: God is watching you.πππ
Hahahahaaaa!! Ngoja nikapike msukuma π€£π€£π€£πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈYaonekana leo una furaha mpaka basi. Safi sana!
Mr Genetic, siyo?
Sasa kwanini umehide blue ticks? π π kumbuka mie ni old user wa wasap GB, sasa kuna mambo nayaona π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mimi huyuu?
Usisahau we ndio ulinifundisha kutumia Snapchatπ sasa Whatsapp GB ningewezaje mie bila msaada wakoπ€£π€£