Shukrani sana mjumbe sasa tumefunga rasmi acha wajumbe waendelee na kamati zao ndogo ndogo barikiwa sana mjumbe sasa hujaoa hudaiwi chama na hutoki na mke wa mtu uko freeeeeeeer
Hahaha tukiwa na binti ntamwachaje alale amenuna?.
Nakusubiri ulale halafu usiku nakuamsha utakua umesahau kuwa ulikuwa umenuna...kitachoendelea shetani anajua🤣🤣🤣