Shukrani sana mjumbe sasa tumefunga rasmi acha wajumbe waendelee na kamati zao ndogo ndogo barikiwa sana mjumbe sasa hujaoa hudaiwi chama na hutoki na mke wa mtu uko freeeeeeeer ✌️✌️✌️✌️
Hujui tu ninavyopenda kununiwa🤣🤣🤣🤣
Na kwa kupindua meza sijambo utajikuta uko kifuani ukisemesha mwenyewe..afu babe usiniudhi tena eee🤣🤣🤣
Mimi masta nikiamua hupindui🤣🤣
Bwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.
Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.