Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuangalia romantic scenes na wazazi wako hata kama una 30 years,, still ni awkward kidogo
Nmekumbuka zaman wakat katoto nilikua napenda sana tamthilia zile za kizungu na hamna namna nyingine ya kuangalia zaidi ya kusubiria irushwe kwene Tv, ikifika muda kama kuna vipande vya hovyo hovyo wanatufukuza watoto
unahisi uchungu tamthilia unaitaka lkn wazee wamekazaa. Maisha bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…