Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah true love ipooo. Tena ni Raha asikwambie mtu. Hasa ukipendwa dear. Halafu ajue na kupika Sasa then asione shida yeye kuingia kupika
. Mana Kuna wale nipike ww wafanya nini?
Indeed love is beautiful thing
Unaona dunia yote yako

Hapo akiwa hamind kupika utaenjoy zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…